Meneja
Mahusiano wa kampuni ya simu ya mkononi
Airtel, Jackson Mbando (katikati ) , akionesha waandishi wa habari
(hawapo pichani) moja ya namba ya mshindi wa kwanza wa Nyumba wakati wa droo ya
kutafuta mshindi huyo iliyofanyika jana jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja
masoko wa kampuni hiyo ,Aneth Muga na kushoto ni msimamizi wa michezo ya
kubahatisha ,Mrisho Millao.
|