KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Wednesday, August 14, 2013

ASKALI KANJANJA WA USALAMA BARABARANI ANASWA AKIWA KAZINI JIJINI DAR ES SALAAM


AKIWA KWENYE GARI KUPELEKWA KITUO CHA POLISI

ASKALI FEKI AKIWA AMEVALIA UNIFORM MFANO WA SARE ZA JESHI LA PILISI KIKOSI CHA  USALAMA BARABARANI CHINI YA ULINZI MKALI