Rais Dr.Jakaya
Kikwete akiwa katika mazungumzo na Rais Mtendaji Mkuu wa Barrick Gold ( AGB ), Greg
Hawkins ( wa Pili kushoto ) Ikulu Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Makamu wa
Rais ( Mahusiano ) waABG Tanzania, Deo
Mwanyika ( Picha na Freddy Maro)
Rais Dr.
Jakaya Kikwete akimkaribisha Ikulu Rais na Mtendaji wa African Barrick Gold ( AGB
), Greg Hawkins na kufanya naye mazungumzo leo jijini Dar es Salaam.