KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Wednesday, June 17, 2015

BENKI YA NBC YASHINDA TUZO YA SUPERBRAND AFRIKA MASHARIKI

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (kulia) akipokea tuzo ya ubora ya Superbrand ya Afrika Mashariki  kutoka kwa Mkurugenzi Mradi wa Taasisi ya Superbrands Ukanda wa Afrika, Jawad Jaffer katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Rukia Mtingwa.

 Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks akizungumza katika hafla hiyo.

  Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Edward Marks (wa pili  kulia) akiwa na baadhi ya washindi wengine wa tuzo za Superbrands katika hafla hiyo.