KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Thursday, February 19, 2015

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA MKUTANO MKUBWA WA VIONGOZI AFRIKA

   Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi, wa tatu toka kushoto, mstali wa mbele , akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki mara baada ya kufungua rasmi Mkutano wa kikanda uliozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050 mkutano huo ulifanyika katika Hotel ya Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment