KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Thursday, February 19, 2015

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR, AZINDUA RASMI MKUTANO WA KIKANDA JUU YA UKUAJI NA MAISHA YA BAADAE YA NCHI ZA AFRIKA

Afisa mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa maendeleo Endelevu, Joseph Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi, (kushoto) kufungua rasmi Mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushughulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, katikati ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick, mkutano huo umefanyika katika hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.

 

    Afisa Mtendaji mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa maendeleo Endelevu, Prof: Joseph Semboja, (Kulia) akimkaribisha Makamou wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi, wa tatu toka kulia,  kufungua rasmi Mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi za Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za ukuaji wa miji na kushuhulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, Kushoto ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick, na wa Pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia , mkutano huo umefanyika katika hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.




   Afisa mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi wa Afrika kwa maendeleo Endelevu “Uongozi Instutite”, Joseph Semboja, wa kwanza kushoto, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu , tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia, wa Pili toka kushoto na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi wakifuatia mtoa mada hayupo Pichani wakati wa Mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za  ukuaji wa miji na kushuhulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, mkutano huo umefanyika katika Hotel ya hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.

 
   Mkurugenzi wa Mistra Urban Futures Prof , David Simon, akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za  ukuaji wa miji na kushuhulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, mkutano huo umefanyika katika Hotel ya hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.

 
    Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar , Mh, Balozi Seif Ali Iddi, (kushoto) akimsikiliza Gavana wa Khartum Sudan, AbdelRahman Alkhidir, wakati wa mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za  ukuaji wa miji na kushuhulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, mkutano huo umefanyika katika Hotel ya hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.

 
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick (kulia) akifafanua jambo kwa Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mh, Balozi Seif Ali Iddi (kushoto) wakati wa mkutano wa kikanda uliokutanisha Viongozi na watunga Sera kutoka Nchi nza Afrika mashariki , uliozungumzia changamoto za  ukuaji wa miji na kushuhulikia hali ya baadae ya miji ya Afrika mpaka ifikapo 2050, mkutano huo umefanyika katikati ni Gavana wa Khartum Sudan, AbdelRahman Alkhidir. Mkutano huo umefanyika katika Hotel ya hotel ya Hytt Regencey Kilimanjaro ya jijini Dar es Salaam.