KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Friday, October 17, 2014

MAANDALIZI YA SERENGETI FIESTA YAKAMILIKA

Bonge la STAGE



Hizi ni baadhi tu ya Bar zikiwa katika maandalizi

Hawa ni baadhi tu ya wakazi wa jiji wakinunua Tiketi za kuingia Serengeti Fiesta kesho hapo Leadars Club, ambapo msanii wa kimataifa T I atafanya vitu vyake.