KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Thursday, January 18, 2018

MWANADADA AIBUA ZAIDI YA MILIONI 10. MLIMANI CITY

Meneja wa duka la Mlimani city, Pastory  Mrosso (kulia)  akimpongeza mshindi wa vifaa vya nyumbani toka dukani hapo , Johari Habibu (katikati) baada ya kujishindia vifaa hivyo katika droo iliyoendeshwa dukani hapo kwa wateja wake, wakati wa hafla ya kumkabidhi zawadi zake zenye thamani ya tsh milioni 10.  kushoto ni Meneja uendeshaji wa duka hilo Girish Kumar.

 
Meneja wa duka la Mlimani city, Pastory  Mrosso (katikati)  akimpongeza, Johari Habibu (kushoto) baada ya kujishindia zawadi zenye thamani ya tsh milioni 10. katika droo iliyoendeshwa dukani hapo kwa wateja wake, makabidhiano hayoyalifanyika dukani hapo jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja uendeshaji wa duka hilo Girish Kumar.

 
Meneja wa duka la Mlimani city, Pastory  Mrosso (katikati)  akimkabidhi Tv aina ya Panasonic moja ya zawadi zenye thamani ya tsh milioni 10. Johari Habibu (kulia) baada ya kujishinda katika droo iliyoendeshwa dukani hapo kwa wateja wake, makabidhiano hayo yalifanyika dukani hapo jijini Dar es Salaam, kushoto ni Meneja uendeshaji wa duka hilo Girish Kumar.

 Meneja wa duka la Mlimani city, Pastory  Mrosso (kushoto)  akimkabidhi deki ya Sony home theatra ikiwa ni moja ya zawadi zenye thamani ya tsh milioni 10. Johari Habibu (kulia) baada ya kushinda katika droo iliyoendeshwa dukani hapo kwa wateja wake, makabidhiano hayo yalifanyika dukani hapo jijini Dar es Salaam.