KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Sunday, May 31, 2015

TANGA CEMENT EVENT

 Meneja Biashara wa  Kampuni ya Saruji Tanga, Matthews Roos (wa pili kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa Diwani wa Kata ya Pongwe, Uzia Juma, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kisimatui kilichopo katika kata hiyo. Mifuko hiyo ina thamani ya shs milinioni 3.5. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga juzi. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Mawasiliano na Mahusiano ya Nje wa kampuni hiyo, Mtanga Noor, Meneja Kiwanda Mhandisi. Ben Leman a maofisa wengine wa kampuni hiyo.    


 Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Saruji Tanga, Diana Malambugi (wa pili kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa Diwani wa Kata ya Pongwe, Uzia Juma, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kisimatui kilichopo katika kata hiyo. Mifuko hiyo ina thamani ya shs milinioni 3.5. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga juzi. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Kiwanda Mhandisi. Ben Lema, Meneja Biashara, Matthews Roos, Ofisa Mtendaji Kata ya Pongwe, Salimu Mdoe na Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Samuel Shoo.    

 Meneja Usalama na Mazingingira wa  Kampuni ya Saruji Tanga, Leon Breedt (wa tatu kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa Diwani wa Kata ya Pongwe, Uzia Juma, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kisimatui kilichopo katika kata hiyo. Mifuko hiyo ina thamani ya shs milinioni 3.5. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga juzi. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Kiwanda, Mhandisi. Ben Lema, Meneja Biashara, Matthews Roos, Ofisa Mtendaji Kata ya pongwe, Salimu Mdoe, na Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Samuel Shoo.  

 Meneja Kiwanda wa  Kampuni ya Saruji Tanga, Mhandisi Ben Lema (wa pili kushoto), akikabidhi sehemu ya msaada wa mifuko 300 ya saruji kwa Diwani wa Kata ya Pongwe, Uzia Juma, iliyotolewa na kampuni hiyo kusaidia ujenzi wa zahanati ya kijiji cha Kisimatui kilichopo katika kata hiyo. Mifuko hiyo ina thamani ya shs milinioni 3.5. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kiwandani hapo, Pongwe, Tanga juzi. Wengine kutoka kushoto ni, Meneja Biashara, Matthews Roos, Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Samuel Shoo na Ofisa Mtendaji Kata ya pongwe, Salimu Mdoe.