KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Sunday, May 31, 2015

BENKI YA NBC YASAIDIA TATIZO ZA AJIRA KWA VIJANA

 
Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa akikabidhi cheti kwa Rasuli Mikidadi (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao yalifanyika Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future World, Robert Mkolla na Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter. Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan International.

 
:  Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa (katikati), akitoa hotuba kwa niaba ya mkurugenzi mtendaji wa benki hiyo katika hafla hiyo. Kushoto ni  Mkuu wa Future World, Robert Mkolla na kulia ni Meneja wa mradi kutoka Shirika la Plan International, Simon Ndembeka.

 
: Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa akisalimiana na Amina Hassan (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao yalifanyika Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Nyuma yake ni Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter. Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan International.

 
Kaimu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC Tanzania, Rukia Mtingwa akikabidhi cheti kwa Steven Msulwa (kulia), mmoja wa wahitimu wa mradi wa Kuendeleza Vijana Kiuchumi Dar es Salaam katika mahafali yao yalifanyika Chuo cha ufundi stadi cha Future World, Gongo la mboto, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam leo. Kulia kwa Rukia ni Mkuu wa Future World, Robert Mkolla na Meneja Huduma za Jamii wa NBC, Irene Peter. Mradi huo umefadhiliwa na NBC kwa kushirikiana na Shirika la Plan International.


No comments:

Post a Comment