KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Sunday, March 22, 2015

NBC WAKUTANA KUJENGA UWEZO WA MSHIKAMANO

Meneja Masoko wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Maria  Alina Kimaryo (katikati) akizungumza katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano  mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam

  Mkuu wa Kitengo cha Kusimami Ubora wa Huduma kwa Wateja wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Jane Dogani (katikati) akizungumza katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

 Kaimu  Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Rukia Mtingwa (kulia), akizungumza katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa pili kulia) akishiriki michezo na baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo katika warsha ya siku ya moja ya kujengeana uwezo na mshikamano mahali pa kazi iliyoandaliwa na kitengo cha masoko cha benki hiyo na kuwashirikisha wafanyakazi wa vitengo mbalimbali vya NBC. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam.

  Meneja Mahusiano wa Benki ya NBC, William Kallaghe akizungumza katika warsha hiyo.

 Baadhi ya washiriki wa warsha hiyo.

Baadhi ya wafanyakazi wa NBC walioshiriki warsha hiyo wakifanya mafunzo kwa njia ya michezo

 Wafanyakazi wa kitengo cha masoko cha benki ya NBC wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wenzao waliowaalika katika warsha hiyo

  Mkurugenzi Mtendaji wa Muda wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (wa sita kushoto, waliosimama) akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi walioshiriki warsha hiyo.

  Washiriki wa warsha hiyo wakibebana katika mchezo wa kuvuka ‘daraja’ ikiwa ni sehemu ya mafunzo kupitia michezo katika warsha hiyo.

  Washiriki wa warsha hiyo wakifanya moja ya michezo ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao ya kujengeana uwezo na mshikamano katika hafla hiyo.