KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Wednesday, December 10, 2014

DEREVA WA BODABODA AJINYAKULIA LIMO BAJAJ KATIKA SHINDANO LA "TUTOKE NE SERENGETI"

 
 Meneja wa Bia chapa ya Serengeti, Rugambo Rodney katikati  akithibitisha namba ya simu ya mkononi  ya mshindi wa Limo Bajaj, wakati wa kuchezesha droo hiyo ya  “tutoke na Serengeti” (kulia) ni Mkaguzi toka michezo ya kubahatisha , Abdallah Hemedy, na kushoto ni Mkaguzi toka Pricewatercoopers, Golder Kamuzora. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Serengeti jijini Dar es Salaam.

1.    Mkaguzi toka Pricewatercoopers, Golder Kamuzora akithibitisha namba ya mshindi wa Limo bajaji, wakati wa kuchezesha droo ya kumtafuta mshindi wa pili wa limo bajaj, katikati ni Meneja wa Bia chapa ya Serengeti, Rugambo Rodney na kulia ni Mkaguzi toka bodi  michezo ya kubahatisha , Abdallah Hemedy, hafla hiyo ilifanyika Serengeti mjini Dar es Salaam.

 
Meneja wa bia chapa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney , akiongea kwa simu na mshindi wa Limo bajaj ya Pili kutolewa katika shindano la “Tutoke na Serengeti” Peter Emanuel mkazi wa Rombo Kilimanjaro katika shindano linaloendeshwa na ka mpuni hiyo ya bia ya Serengeti. Kulia ni Mkaguzi toka bodi  michezo ya kubahatisha , Abdallah Hemedy, hafla hiyo ilifanyika Serengeti mjini Dar es Salaam.

 
Meneja wa bia chapa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney , akifafanua jambo wakati wa kuchezesha shindano la” Tutoke na Serengeti” ambapo Peter Emanuel mkazi wa Rombo mkoani nkilimanjaro ameibuka mshindin kwa kujinyakulia Limo Bajaj yenye thamani ya tsh milioni saba kulia ni mkaguzi toka bodi ya michezo ya kubahatisha Abdullah Hemedy 

 
Meneja wa bia chapa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney, katikati akifafanua jambo wakati wa kuchezesha shindano la” Tutoke na Serengeti” ambapo Peter Emanuel mkazi wa Rombo mkoani nkilimanjaro ameibuka mshindin kwa kujinyakulia Limo Bajaj yenye thamani ya tsh milioni saba kulia ni mkaguzi toka bodi ya michezo ya kubahatisha Abdullah Hemedy  na kushoto ni Mkaguzi toka Pricewatercoopers, Golder Kamuzora. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Serengeti, jijini Dar es Salaam.