KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Tuesday, November 25, 2014

SERENGETI YAKABIDHI ZAWADI YA LIMO BAJAJ KWA MSHINDI WA " TUTOKE NA SERENGET I"


1.    Meneja wa Bia ya Serengeti, Rugambo Rodney (kulia),  akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), wakati wa kuchezesha droo ya kwanza ya Tutoke na Serengeti, ambapo Rukia Athuman Almas toka Morogoro ameibuka mshindi wa kwanza na kujinyakulia Limo Bajaji mpya yenye thamani ya Sh. Milioni 9.  Kushoto ni mkaguzi toka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Bakari Maulid. Hafla hiyo ilifanyika makao makuu ya Serengeti jijini Dar es Salaam.


 Meneja wa Bia ya Serengeti, Rungambo Rodney (kulia), akiongea kwa njia ya simu ya mkononi na        Rukia Athuman Almas mshindi wa kwanza wa promotion ya Tutoke na Serengeti. Kushoto ni Mkaguzi toka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Bakari Maliud. Hafla hiyo ilifanyika Makao Makuu ya Serengeti jijini Dar es Salaam.