KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Monday, November 3, 2014

BENKI YA NBC YATOA ZAWADI KWA WAFANYAKAZI BORA

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Pius Tibazarwa (kulia)
akikabidhi cheti kwa James Swai, mmoja wa wafanyakazi wa benki hiyo
katika kitengo cha ufunguaji wa akaunti kwa ajili ya ufanisi wake bora
 katika,usaidia Idara ya Huduma za Kibenki kwa Makampuni wakati wa
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha
Huduma kwa Wateja cha NBC, Ngwitika Mwakahesya na maofisa wengine wa benki hiyo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Pius Tibazarwa (kulia)
akikabidhi zawadi kwa Bi. Shilwa  Mwashemele (kushoto),  mmoja wa
wafanyakazi bora wa benki hiyo katika kitengo cha ufunguaji wa
akaunti, wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni
mwa wiki. Wa pili kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Kusimamia Ubora wa Huduma, Jane Dogani na Mkuu wa Kitengo cha Huduma Kwa Wateja, Ngwitika Mwakahesya.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Pius Tibazarwa (kulia)
akikabidhi cheti kwa Anna Kalata, mmoja wa wafanyakazi wa benki hiyo
katika kitengo cha ufunguaji wa akaunti kwa ajili ya ufanisi wake bora
 katika kusaidia Idara ya Huduma za Kibenki kwa Makampuni wakati wa
hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha
Huduma kwa Wateja cha NBC, Ngwitika Mwakahesya na maofisa wengine wa benki hiyo