KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Thursday, October 30, 2014

RAIS KIKWETE AONDOKA VIETNAM BAADA YA KUITIMISHA ZIARA RASMI YA SIKU MBILI NCHINI HUMO. (PICHA NA IKUKU)

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza (wa pili kushoto), Mbunge wa Ilala na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya
 Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Mussa Azzan Zungu (kulia), Mbunge wa Tumbe Mhe Rashid Ally Abdallah (kushoto) na Balozi waTanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam jijini Hanoi.

 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha yake ya siku sita nchini China na Vietnam 


 
: Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiagwa  na wenyeji wake katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari  kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini China na Vietnam

 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete  akiagana na  Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika Mhandisi Christopher Chiza na Balozi wa Tanzania nchini China Luteni Jenerali (Mst.) Abdulrahman Shimbo katika uwanja
wa ndege wa Kimataifa wa Noi Bai jijini Hanoi tayari kuanza safari ya kurejea nyumbani baada ya kuhitimisha ziara yake ya siku sita nchini
 China na Vietnam jijini Hanoi

No comments:

Post a Comment