KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Thursday, October 2, 2014

MMC KITENGO CHA MOYO YAPOKEA MSAADA WA VIFAA VYA TIBA YA MOYO

Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MMC) Dr. Merina NJelekela (kulia) akipokea msaada wa vifaa kwa ajili ya matibabu ya Moyo toka kwa  Meneja mauzo wa kampuni ya Pyramid Pharma Gootha Gokarn (kushoto) wakati wa maadhimisho ya siku ya Afya Duniani. Wa pili kulia ni Mkuu wa kitengo cha Moyo, Dr. Robert Mvungi na Mkuu wa Idara ya Madawa , Dr. Hedinga Swai, Hafla ya makabidhiano hayo imefanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili

Mkurugenzi wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MMC) Dr. Merina NJelekela akiongea na waandishi wa habari wakati wa maadhimisho ya siku ya Afya Duniani. Hafla hiyo imefanyika katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili .

: Mkuu wa kitengo cha Moyo, Dr. Robert Mvungi (kulia) akieleza waandishi wa habari namna matibabu ya Moyo yanavyofanyika kwa kutumia mashine mpya na kisasa