KWA MAWASILIANO ZAIDI TUMA E-mail: dvdmwk6@gmail..com SIMU: 0713 084 360

Friday, October 17, 2014

MFALME CHUI AIBUKA CLAUDS FM

 
Mtangazaji wa Clauds Fm, Abel Onesmo, kulia akifafanua jambo wakati wa ziara ya washindi wa Mfalme Chui wa Serengeti Fiesta toka mikoa yote iliyofanyika tamasha hilo, walipotembelea studio ya Clauds Fm iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

 
Mpigapicha Mkuu wa Blog hii , David Mwakasita, (kulia) akipoz kwa Picha na baadhi ya watangazaji mahili wa Clauds Fm, wakati washindi wa Mfalme Chui wa Serengeti fiesta walipotembelea studio hiyo iliyopo Mikocheni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment